FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Oya wananchi msituangushe sasa tupate ushindi huo watu tukaenjoy usiku na warembo wa green and yellow
 
ona sasa hapa mwananchi timu yako ina odds 3.90
IMG_20231123_170142.jpg
 
Mechi itakua ngumu kwa timu zote kutokana na ubora wa kila timu but ALL THE BEST Young Africans
FT: YANGA X-Y AHLY
X=2+Y
 
Kuna watu naona wanatafuta faraja kupitia waarabu, wasahau mambo yao na huku napo watatoka patupu.
 
Tuna wakaribisha makolo wote waje wapate furaha .kandanda saafi point 3 muhimu.mwarabu hadi akimbie uwanjani msako wetu sio wa kitoto

Hii game nili shauri tui pange mchana jua kali lakini, wachezaji wakasema hapanaa .wata sema tume tumia janja janjaa ngoja tuwa weke usiku

[emoji91][emoji91][emoji91]🫡missiles
 
Back
Top Bottom