Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kila timu ni mbovu kama Simba wapigwe 5 G.Natabiri uto atapipigwa mkono.
Si mgao ulishaishaSijui TANESCO huwa wanafikiri kwa kutumia kiungo gani!
Unakata umeme saa 1 jioni/usiku unaurudisha saa 4 usiku.
Hiyo akili au tope!
Wapo wametulia tuli, wanasubiri lipatikane goal ndo wajitokeze kupongezaKwani wenye uzi wao wako wapi?
Wasitudanganye wamepata dharura, wakuje wote hapa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hahahahaa Kila la heri deartumeshajiandaa kisaikolojia mtumishi..
Hapa nakunywa maji hadi moyo uelee usije ruka ruka kama popcorn..!!
Yanga hata wafungwe tatu bila ila wakiona Azizi Ki kampiga mtu tobo hiyo inatosha kuwafanya wafurahi
mnyama yupi huyu aliye kula tano mbele ya yangaNa hii nechi wanakula 3 na Aziz Ki hawezifanya tobo! Mbabe wa Al Ahly SC huwa ni mnyama pekee nchi hii!
rangi imewaponzaAl ahly anapelekewa moto jamen ..
yale mabonanza achana nayoHuu ndio Mpira Sasa,sio Kama Ile iliyopita
Duuuh, magepu hatari.Ila tuwe serious
Yani mchezaji anayelupwa Milion 600 akabwe na Lomalisa anayelipwa milion 3
Na katika hizo milion 3 bado anacheleweshewa mshahara hauji kwa wakati.
anaye lipwa m600 anapigia mpira ulimi amaIla tuwe serious
Yani mchezaji anayelupwa Milion 600 akabwe na Lomalisa anayelipwa milion 3
Na katika hizo milion 3 bado anacheleweshewa mshahara hauji kwa wakati.