FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Kila la heri Yanga. Ushindi ni lazima. Maana wenzake kwenye kundi lake mpaka sasa wametumia vizuri home advantage. Hivyo na yeye hana nna nyingine, isipokuwa kushinda kwa goli nyingi.

Kufungwa au kutoa sare kutatufanya kuendelea kuburuza mkia. Na hii itawafanya mbumbumbu watusimange mpaka basi. Ingawa na wenyewe hali si hali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu wee ni muoga had unatia huruma, relaaaxxx
 
Hakika leo ndio siku ya kutimiza malengo ya kuishia hatua ya makundi Go utopolo go supu fc go
 
Ukiacha yanga kufungwa yaani hata wakipata shot on target moja ndani ya dakika 90 watakua wamejitahidi sana.
 
Msuli day....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kila laheri Yanga....
 
Hii mechi tunashinda dadeq,, Kila la kheri Yanga yangu..
Piga hizo Fala....o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…