FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Kama aliyemfunga yanga jana kafungwa Sasa huyo yanga atafanywa nini [emoji23][emoji23]
 
Navuta muda hapa nielekee uwanjani. Hivi mechi ni saa ngapi jamani? Redioni wanasema saa 10, Yanga na Google wanasema saa 1!

Nisaidieni nipate uhakika nijue natoka home saa ngapi!
 
Iko tunaskia lelo njo mu'equipe wa nguvu mu afrique Al ahly njo unacheza mu Daslam?
Batalokota mingi kunyavu muda na mungu njo chef.
Ule mu'equpie unavaa ma jersy ya vert na jaune utafungwa mingi.
Al ahly tunabapenda sana, karibuni mufansi ya congo.
 
Iko tunaskia lelo njo mu'equipe wa nguvu mu afrika Al ahly njo unacheza mu Daslam?
Batalokota mingi kunyavu muda na mungu njo chef.
Ule mu'equpie unavaa ma jersy ya vert na jaune utafungwa mingi.
Al ahly tunabapenda sana, karibuni mufansi ya congo.
Yanga tunamfunga huyo Al ahly.... utapata majibu muda ukifika.... wasalimie banakongo....
 
Sijui sana kiufundi nani yuko bora kwa sasa, lakini hii mechi imeshamalizwa na wazee.

Anayeombea Yanga ifungwe leo nampa tahadhari mapema ajiandae na pain killer za kumeza.

Mtakachokiona leo wengi hamtoamini macho yenu.

I have said it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…