FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Simba mbovu imetoa sare na al ahly

Yanga bora basi itashinda
😂😂😂


Timu ilikua inataka kudumbukia
Pointi moja imetafutwa kweli kweli

Haya medeama coming soon
Yani na Bado😂😂
 
Mpira ni Kama draft pele alisema ni mchezo wa makosa , Hata ukiwa giant wa Kiwango gani ukifanya makosa na mpinzani akatumia ndiyo imetoka kinachobaki ni historia .
Mfano wydad v jwaneng , wydad mizani ya kishambulia ilizidi ya kuzuia tofauti na jwaneng ,walivyojisahau wakaadhibiwa na inafanana na mechi ya belouzidad v yanga , yanga alishambulia zaidi kuliko kuzuia


Angalia Leo yanga alishambulia na kuzuia mizani ilikuwa sawa , na angecheza hivyo na belouzidad asingefungwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtasema yoteee, mbna badoo
 
Baada ya yanga kuburuza mkia kwenye kundi mna mpango gani na lile likocha lenu lenye bichwa km la nguruwe
Bro michezo sio uadui ni furaha na maelewano . Kwasababu gamondi amekufunga 5 sio uungwana kumchukia !
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…