Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ni Kama draft pele alisema ni mchezo wa makosa , Hata ukiwa giant wa Kiwango gani ukifanya makosa na mpinzani akatumia ndiyo imetoka kinachobaki ni historia .Unajenga hoja kumaanisha sababu ya Marumo kushuka daraja ni kutokana na malengo ya Club yalikuwa kwenye shirikisho na sio ligi kuu?
Kwamba ikifika mechi za ligi kuu kocha anachezesha kikosi B ili kuifadhi wachezaji wake tegemeo kwa ajili ya shirikisho ambalo ndio malengo yao?
Well Marumo alimfunga Pyramid na hiyo ndio tunaita maajabu ya mpira.
Ni kama Jwaneng Galaxy alivyomfunga Wydad kwao Morroco.
Ni matokeo ambayo yakipatikana kila upande hauamini.
Yani Marumo kumfunga Pyramids katika ardhi ya nyumbani Cairo ni jambo la kushangaza.
Na sometimes hata malengo yao unakuta yalikuwa ni kutafuta sare lakini ikatokea tu makosa yamefanyika na Marumo wakaitumia nafasi.
Maajabu kwenye mpira yapo ila hatuwezi kuyategemea kwasababu possibility yake ya kuweza kutokea ni finyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtasema yoteee, mbna badooAziz ki alikuwa mzigo hakimbii , hakabi , hapigi mashuti alikuwa yupo yupo tu gamondi alichemka kumwacha na kumtoa nzengeli .
Yanga inahitaji striker Wawili wa nguvu dirisha dogo Kama inataka kushinda mechi ya belouzid na Al ahly
Ila Kwa Kiwango cha Leo madeama anafungwa na yanga mechi inayofuata .
Bro michezo sio uadui ni furaha na maelewano . Kwasababu gamondi amekufunga 5 sio uungwana kumchukia !Baada ya yanga kuburuza mkia kwenye kundi mna mpango gani na lile likocha lenu lenye bichwa km la nguruwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulijua hili baada ya King Mayele kusepa, ndiyomaana tulimsajili Konkoni chaguo la pili baada ya kukosa striker chaguo la awali tokana na bei ghali,
Tujikongoje hivyo hivyo tutapofikia ndipo hapo hapo tutapoanza settings za misimu mingine.
Mzize na Musonda ni akina Bahanuzi wachangamfu tu...[emoji2]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani c tulikubaliana yanga kila mchezaji anafunga
Wanarudi kucheza na kina Ihefu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi timu ya mkiani wasipofuzu wanaenda wapi? Muwasanue wasidhani Kila mwaka wataangukia Shirikisho
Mtani tulizanaa, mbna ndo kwanzaa kunakuchaa,Kaa kwa kutulia mtani usije lowana kotekote hiyo ni kwa mjibu wa CAF RANKS
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nyie jichekesheni tu hapa waydad kapigwa huko na nyie mnakuwa wa mwisho kwenye kundi lenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nyie makolo si wa kwanza kwenye kundi lenuView attachment 2831792
Uto wapo vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa mwisho ni wydad, sio sisi.Nyie jichekesheni tu hapa waydad kapigwa huko na nyie mnakuwa wa mwisho kwenye kundi lenu
Mechi ijayo my wangu unaenda kupigwa na waydad unakuwa wa mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa mwisho ni wydad, sio sisi.
Poleee dear