FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

20231202_231007.jpg
 
Simba mbovu imetoa sare na al ahly

Yanga bora basi itashinda
😂😂😂


Timu ilikua inataka kudumbukia
Pointi moja imetafutwa kweli kweli

Haya medeama coming soon
Yani na Bado😂😂
 
Unajenga hoja kumaanisha sababu ya Marumo kushuka daraja ni kutokana na malengo ya Club yalikuwa kwenye shirikisho na sio ligi kuu?

Kwamba ikifika mechi za ligi kuu kocha anachezesha kikosi B ili kuifadhi wachezaji wake tegemeo kwa ajili ya shirikisho ambalo ndio malengo yao?

Well Marumo alimfunga Pyramid na hiyo ndio tunaita maajabu ya mpira.

Ni kama Jwaneng Galaxy alivyomfunga Wydad kwao Morroco.

Ni matokeo ambayo yakipatikana kila upande hauamini.

Yani Marumo kumfunga Pyramids katika ardhi ya nyumbani Cairo ni jambo la kushangaza.

Na sometimes hata malengo yao unakuta yalikuwa ni kutafuta sare lakini ikatokea tu makosa yamefanyika na Marumo wakaitumia nafasi.

Maajabu kwenye mpira yapo ila hatuwezi kuyategemea kwasababu possibility yake ya kuweza kutokea ni finyu.
Mpira ni Kama draft pele alisema ni mchezo wa makosa , Hata ukiwa giant wa Kiwango gani ukifanya makosa na mpinzani akatumia ndiyo imetoka kinachobaki ni historia .
Mfano wydad v jwaneng , wydad mizani ya kishambulia ilizidi ya kuzuia tofauti na jwaneng ,walivyojisahau wakaadhibiwa na inafanana na mechi ya belouzidad v yanga , yanga alishambulia zaidi kuliko kuzuia


Angalia Leo yanga alishambulia na kuzuia mizani ilikuwa sawa , na angecheza hivyo na belouzidad asingefungwa
 
Aziz ki alikuwa mzigo hakimbii , hakabi , hapigi mashuti alikuwa yupo yupo tu gamondi alichemka kumwacha na kumtoa nzengeli .
Yanga inahitaji striker Wawili wa nguvu dirisha dogo Kama inataka kushinda mechi ya belouzid na Al ahly
Ila Kwa Kiwango cha Leo madeama anafungwa na yanga mechi inayofuata .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtasema yoteee, mbna badoo
 
Baada ya yanga kuburuza mkia kwenye kundi mna mpango gani na lile likocha lenu lenye bichwa km la nguruwe
Bro michezo sio uadui ni furaha na maelewano . Kwasababu gamondi amekufunga 5 sio uungwana kumchukia !
 
Tulijua hili baada ya King Mayele kusepa, ndiyomaana tulimsajili Konkoni chaguo la pili baada ya kukosa striker chaguo la awali tokana na bei ghali,

Tujikongoje hivyo hivyo tutapofikia ndipo hapo hapo tutapoanza settings za misimu mingine.

Mzize na Musonda ni akina Bahanuzi wachangamfu tu...[emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom