FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Yanga hata wafungwe tatu bila ila wakiona Azizi Ki kampiga mtu tobo hiyo inatosha kuwafanya wafurahi

Na hii nechi wanakula 3 na Aziz Ki hawezifanya tobo! Mbabe wa Al Ahly SC huwa ni mnyama pekee nchi hii!
 
Ila tuwe serious

Yani mchezaji anayelupwa Milion 600 akabwe na Lomalisa anayelipwa milion 3

Na katika hizo milion 3 bado anacheleweshewa mshahara hauji kwa wakati.
Duuuh, magepu hatari.

Hela ya kutolea ni mshahara wa mwingine, noma sana
 
Ila tuwe serious

Yani mchezaji anayelupwa Milion 600 akabwe na Lomalisa anayelipwa milion 3

Na katika hizo milion 3 bado anacheleweshewa mshahara hauji kwa wakati.
anaye lipwa m600 anapigia mpira ulimi ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…