FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Al ahly yupo unga sana msimu huu- walisikika walevi fulani baada ya ahly kutoa draw ya magoli 2-2. Wakaenda mbali zaidi wakisema kuwa watamfunga home and away [emoji23][emoji23]
Job namsubiri pale wasafi kesho
 
Tp Mazembe ni giant wa afrika , Hata usm algers umeona alichofanya , club Africain ni Bingwa wa zamani wa caf cl

Marumo alishuka daraja lakini league ya afrika kusini ni ngumu sana sababu ya uwekezaji kwahiyo kila timu sio kibonde kama nchi nyingine na gap ya point Kati ya timu na timu wakati mungine ni ndogo na msimu uliopita aliwazidi kaizer na Orlando .

Kwanini caf waiweke yanga top 5 wasiweke raja .
Rank hawaangalii majina makubwa au historia wanaangalia current performance .
Mwambieni Ali Kamwe hivii; Vikao vya usiku havikwepeki!
Msisahau kumpa na taarifa za Asec mimosa
 
Mashabiki wa yanga wana siri sana hivi suala la kuburuza mkia kwenye kundi ni suala la kukaa nalo moyoni kweli,,, kwa nini hamtaki ku share na watu kuhusu hili jambo...... Wengi hawajui km yanga wanaburuza mkia, mm nimeligundua hilo baada ya kufanya uchunguzi mkubwa.
 
Hebu tuone wiki ijayo, maana kama sio mpira kugonga nguzo Simba tungeshinda
Mmeanza kujipata

Gemu ya leo ilikuwa poa sana

Ubaya Wydad mnacheza naye nje ndani

Muombe wabakie na kocha huyu huyu ili mkawafunge kwa Mkapa na mkadroo kwao

Mkipata 3 hapa bongo na droo kwao itakuwa poa

Galaxy akija hapa mtaamua wenyewe mchinje au mnyonge
 
Mmeanza kujipata

Gemu ya leo ilikuwa poa sana

Ubaya Wydad mnacheza naye nje ndani

Muombe wabakie na kocha huyu huyu ili mkawafunge kwa Mkapa na mkadroo kwao

Mkipata 3 hapa bongo na droo kwao itakuwa poa

Galaxy akija hapa mtaamua wenyewe mchinje au mnyonge
Mkuu leo umeweka ushabiki pembeni umeongea Ukweli..
Safi sana hili ndo soka
 
Kusuasua kwa uto bila shaka yoyote chanzo ni kolowizadi.

Inawezekani vipi timu iliyokuwa inafunga timu yoyote bao 5-0, leo inashangilia kutoka sare ya 1-1. , kuburuza mkia?
 
Back
Top Bottom