FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Yanga anacheza na APR ile iliyopigwavjana na Simba
 
Nyuzi za Yanga zikianzishwa na mleta mada huwa zinaishia pabaya. Hivi wewe jamaa kwani lazima kuanzisha nyuzi za Yanga mfyuuuuu zako unaboa
Umemuonea mkuu, huyu katika nyuzi alizoanzisha Yanga hakufungwa.
 
Ephen Mimi ndo mwanaume wali Wa kweli .Njoo tuenjoy Sikh ya kilele cha wananchi
 
Nendeni uwanjani kina supu ya bure
 
Mwenye picha ya kiwanjani atume Humu sababu tuliambiwa uwanja ujae kabla ya saa 8 mchana
 
Simba na red arrow ipi timu kubwa?
Yanga kwasasa ni moja ya timu kubwa Africa Red arrows ni timmu ya jeshi,kwa kujibu swali laka yanga ni timu kubwa kuliko red arrows, hawa red arrows ndiyo mabingwa kule Zambia km ilivyo yanga sc
 
saa nane hii uwanjani akuna watu,mashabiki wa Uto wanasubiri fungulia mbwa.[emoji3]
Watu wana ishughulu zao za kufanya, mtu tokea asubuhi kaenda kuparamia uwanja na kuvunja mageti si ukosefu wa shughuli za kufanya? Subiri watu wamalize kazi zao utaona uwanja utajaa. Mechi ni saa moja, na kwenye hizo events kuna watu wanafuata mechi pekee, wapo wanaofuata muziki pekee na wapo wanaofuata vyote kwa pamoja. Jana tumeona ni jinsi gani mashabiki wa Simba hawana kazi za kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…