FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Mhudumuuu, muongezee na huyu, sijui anakunywa nini.
 
Hawa Jamaa mbona kama wametumwaaa🤣🤣Mh! Kocha weka Bacca,tia nzengeli na Dune mechi iiche 3 moya. Makolo Wala usiwaogopee ni utelezii tupu.
 
tatizo la yanga mashabiki watasusa tar 8 wasije. mashabiki wao roho ndogo hawana simile watasusa gsm awaambie waingie breeee mwishoe
Wakati mnabeba mara nne mfululizo wakati huo Yanga inapitisha bakuli viwanjani. Yanga ndio timu ilikua inaingiza fans wengi viwanjani kuliko timu yoyote ya ligi kuu.

Hizi kauli watafuteni wasiojua muwaambie msiviandike humu
 
GSM atumie muda huu wa mapumziko kuongea vizuri na hao mishale myekundu, mbona yanazungumzika tu. Hivi hivi hii sherehe itageuka huzuni
 
Bonanza...... ila jidanganyeni, sijui safari hii nani mtamwita duka,timu haifamiki inatumia mfumo gani hamna muunganiko. Jichanganyeni tuu tunawasubiria.....
Hata lile la Kaizer Chiefs lilikuwa bonanza, lakini tulienda kuwapokea wachezaji airport kwa gwaride, tena usiku mnene. Kwa hiyo tusijifiche kwa kigezo cha bonanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…