Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hifadhi maneno ....Wewe ndio uchague ila Yanga inaendeleza ilipo ishia msimu uliopita, sijui safari nani ataitwa duka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hifadhi maneno ....Wewe ndio uchague ila Yanga inaendeleza ilipo ishia msimu uliopita, sijui safari nani ataitwa duka.
Nakuonea huruma kumbe una kiburi🙄Tupo vyede! Tar 8 tutawanyoosha wanyonge wetu
🤣🤣🤣Mhudumu, mwambie tunashukuru, mpatie na yeye nne. Njoo na bili kabisa.
Mhudumuuu, muongezee na huyu, sijui anakunywa nini.Yaani huyu Pacome yaani hili bonanza anacheza hivi, halafu bado kuna Dube......... nyie.Jana kuna watu hata ukiwauliza walikiwa wanacheza mfumo gani hawajui,muunganiko hamna....... tupo hapa.Wanatupigia kelele humu ,nyie jidanganyeni na hili bonanza maana sijui safari nani atapewa mzigo wa lawama wa kuitwa duka.
Hamumtaki Chama kikosini?Kikosi kipana huja ja madhara yake. Kocha inatakiwa aweke full mkoko uliokuwa unashinda na kutwaa ubingwa. Hii rotation itamsumbua sana siku za usoni. Kama unataka ushindi never change a winning team
Wiki hii utazielewa hizo sentencing zina maanisha nini.Mbona hueleweki.....jitahidi kuandika sentensi zenye kuleta maana....
Wakati mnabeba mara nne mfululizo wakati huo Yanga inapitisha bakuli viwanjani. Yanga ndio timu ilikua inaingiza fans wengi viwanjani kuliko timu yoyote ya ligi kuu.tatizo la yanga mashabiki watasusa tar 8 wasije. mashabiki wao roho ndogo hawana simile watasusa gsm awaambie waingie breeee mwishoe
Angalia burudani kijana, mimi nipo hapa na kula kula korosho na kushushia na udambwidambwi wa Pacome.Mhudumuuu, muongezee na huyu, sijui anakunywa nini.
Hata lile la Kaizer Chiefs lilikuwa bonanza, lakini tulienda kuwapokea wachezaji airport kwa gwaride, tena usiku mnene. Kwa hiyo tusijifiche kwa kigezo cha bonanzaBonanza...... ila jidanganyeni, sijui safari hii nani mtamwita duka,timu haifamiki inatumia mfumo gani hamna muunganiko. Jichanganyeni tuu tunawasubiria.....
Uto hata hueleweki.Wewe ndio uchague ila Yanga inaendeleza ilipo ishia msimu uliopita, sijui safari nani ataitwa duka.
Nimewaona😁😁Namna gani pale naona mashabiki wameanza Kuondoka huku wanatukana Mambo gani hapa 🤣🤣🤣
Kidogo sio sana🥲Nakuonea huruma kumbe una kiburi🙄