Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na inabidi Mmchunguze asije akapiga watoto nyumbani au Akampiga Mke wake kisa Yanga veteranVincenzo Jr umejificha wapi?🤔
Ushaleta kiu masterSiangaliii nipo ktk canopy nje hapa... nashusha vyupa.
Udugu kupigwa kimojaUBAYA UBWELA
Mtoto mdogo yake nepi kaa kwa kutuliaHalafu kuna watu wamemdanganya makamu wa Rais kuwa Yanga ina kikosi cha kubeba klabu bingwa Afrika ..
Kwanini ali kamwe hajaonekana?😞😢
Waliweeeee3 mbwa hawa.. siwapend kinomaUshaleta kiu master
Kuna jitu linauwawa hukuSasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.
Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka Zambia.
=====
00' Kipenga kimepulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga 0-0 Red Arrows.
04' Red Arrows wanapata free kick ya kwanza kuelekea Yanga baada ya Boka kumdondosha Anthony.
06' ⚽ Rick Banda anaitanguliza Red Arrows kwa bao la mapeeema, ni mpira wa kichwa.
07' Almanusura Pacome airejeshe furaha ya wanayanga baada ya gonga kadhaa, juhudi zinashindwa kuzaa goli.
13' Aucho yuko chini baada ya kuwania mpira wa juu na Banda. Anarejea uwanjani baada ya kupata huduma ya kwanza.
15' Mzize anajaribu shuti kali kutoka nje ya 18 lakini mpira unapaa juuu ya lango la Red Arrows.
21' Yanga wanapata kona na kuianzisha chap chap, mipango yao inashindwa kufanikiwa.
24' Red Arrows wanapata kona mbili mfululizo, Diarra anauweka mikononi barabara.
25' Baleke anapata mpira maridhawa lakini filimbi ya offside inalia.
26' Yanga wanaumiliki mpira langoni kwa Red Arrows bila kupata bao.
Na bado, ubaya ubwelaGamondi upara unafuka moshii🥲