FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Mnasemaje tuwanyanyulie tena mnara au tukaushe?
 
Machi kwa SIMBA ishakuwa ngumu..
Phycological simba washa panic
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan kitendo cha Utopoloo kutolewa semi final CAF, sisi simba ni full burudaniiiiiii.

Match ya leo hata mfunge 10 sina hata mshtukoo,
Niko buzzy naangalia Al Ahly na Tp Mazembe.
Na hta ubingwa wabebe tuuu, ss tulibeba mara 4 mfululizo. Tunataka walipe sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Link ya live kuangalia mpira... tupo nje ya nchi wengine.. app ya Azam unasumbua
Tumieni link please
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan kitendo cha Utopoloo kutolewa semi final CAF, sisi simba ni full burudaniiiiiii.

Match ya leo hata mfunge 10 sina hata mshtukoo,
Niko buzzy naangalia Al Ahly na Tp Mazembe.
Sisi wenyewe tunaona mechi hainogi sababu tunajua lazima tuwagonge timu bovu makolokolo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
SIMBA Bora tu , KAPOMBE aingie, ISRAEL na KAZI ni kama wasiwasi mwingi
 
Na hta ubingwa wabebe tuuu, ss tulibeba mara 4 mfululizo. Tunataka walipe sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] match ya leo haina hata msisimko, mashabiki wenyejii wamesusaa kwenda uwanjani. Woiiiiiih

Wamenuna kutolewa na UBUNTU BONTHO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…