FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Hii ni historia nyingine inaandikwa baada ya ile ya miaka iliyopita ambapo yanga walijifungisha ili simba isishuke daraja.leo hii Yanga imeamua kucheza game ya kistaarabu ili Simba isihaibike na kusambaratika kwani Simba ni mtani wa jadi.
2-1 ni fair game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…