FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

MKUU NINA MAONI KAMA UNAONA ITAFAA YAFANYIE KAZI ISIPOFAA PIA NI SAWA

WADAU WENGI WANAKULALAMIKIA UMEKIMBILIA KUANZISHA UZI NA VILEVILE UKAUKIMBIA KUTOA LIVE UPDATES YA NINI KINAENDELEA

Kuna raia wengine huwa wanategemea kuangalia updates kupitia JF, sasa tunavyojua muanzishaji wa uzi ndio kwa % kubwa atoe updates za uhakika badala yake unasaidiwa na wengine kutoa taarifa.. Hakikisha unapotoa updates kama ulivoahidi hapo juu uwe bega kwa bega kutoa taarifa za matokeo/matukio uwanjani

Anyways sijajua ni kujisahau ukawa busy au mashindano tu kuonekana ulianzisha uzi kuweka historia au vipi..

All in All ikikupendeza fanyia kazi maoni na ushauri wangu, ila kama una mipango yako ni sawa pia na nisamehe kama kuna mahali nimekukwaza lakini yote ni kwa ajili ya kujenga tu[emoji120]
 
Mwambie huyooo 😁😁🤣
 
Yanga ni mbovuu...ila Simba imechezewa kichawi aisee sio kawaida...
Timu imejaa wachezaji wazee! Mnasajili maproo wengi wa kiwango cha kawaida, halafu mnategemea kupata maajabu!

Msipokubali kubadilika, Yanga atakuwa mbabe wenu kwa miaka 10 mfululizo. Mjifunze kusajili wachezaji vijana wa kiwango cha Stephen Aziz Kii ili mfaidi matunda yao. Chama na Saidoo, wameshajichokea kwa sasa. Na hivyo hawana maajabu.
 
Mmejiroga wenyewe sajili vijana na sio wazee Saidoo ana 36 unategemea ninj
Vijana wanachomesha si unaona Yule beki anaitwa Kazi. Sijui mlimpa bahasha maanaa kampa Pasi azizi kirahisi saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…