FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Mbona mudathir aliwapa pass sana makolo, na hatujalalamika?
Match ya jana Yanga tumecheza chini ya kiwango na bado tukashinda
Kudadadadeqqqq[emoji1732][emoji23]
Mudathir jana alioga sana matusi ya wana jangwani alikuwa hana usahihi wa pasi na hakuwa na maamuzi ya haraka na alishindwa kuendana na kasi ya wachezaji wenzie wa Yanga. Yao Kwasi naye alichoma mbili mfululizo halafu ni golini kwake
 
Jana aliyecheza kwa usahihi ni Diara na Ki basi..! Wengine wote walikua tia maji
Bacca angekua kwenye kiwango chake Fred asingefunga lile goal
 
Kalpana vipi hali yako huko baada ya kukandwa goli saba home and away 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mashabiki wa simba wengi ni hawa bodaboda wa energy drinks na misokoto. Hapo unahisi watakuwa sawa kichwani?. Hawana uvumilivu hata kidogo.
Mfano mdogo jana wangeshinda ile mechi kelele zingekuwa kila kona ya nchi na angekufa bodaboda kwa fujo za uendeshaji.
Lakini mashabiki wa YANGA ni wavumilivu na wanashangilia kwa wastani sio kwa kuteka miji kwa kelele na fujo za uendeshaji wa pikipiki.
Kidogo kidogo kwa mbali,wachache wameanza kujifunza ustaraabu wa mashabiki wa YANGA
 
Mashabiki wa 7-2 wana akili ndogo sana kesho watatengenezewa story watahimia huko kama nyumbu jiandae kusikia story negative kuhusu Yanga week hii na watatembea nayo
 
Mashabiki wa 7-2 wana akili ndogo sana kesho watatengenezewa story watahimia huko kama nyumbu jiandae kusikia story negative kuhusu Yanga week hii na watatembea nayo
Mimi huwa ni mnyoofu katika thread zangu. Nimeongelea tukio la kweli na si ushabiki. Na si mara ya Kwanza namsema Chama maana ni mchezaji ninayemkubali Sana. Hebu fikiria Simba wangecheza pungufu tangu dakika ya 57 nini kingewapata Jana?
 
Jana aliyecheza kwa usahihi ni Diara na Ki basi..! Wengine wote walikua tia maji
Bacca angekua kwenye kiwango chake Fred asingefunga lile goal
Na Nzengeli na Guede jana walicheza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…