ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Huyu mwamba akiwepo leo, Simba hatopigwa chini ya 3.Takwimu zinaongeaView attachment 2969031
Azam wanamfananishaje Pacome na Kibu? [emoji23]Takwimu zinaongeaView attachment 2969031
wanasema chakula ya kula etiInahusiana vipi na hii mechi?
Kwamba hii game ni chakula?
🤣🤣🤣 Ndio hivyo huwezi shindana na Suley🤣Yani hawa huwa wanashindania hadi sekunde, inashangaza na kuchekesha.