Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Viongozi a Simba hawatatoka uwanjani.Watani leo hakikisheni mnatukanda vizuri
Kwenye zile 5 ongezeni hapo mbili
Mpaka akili ziwakae sawa viongozi
MnakufaKila la heri chama langu Yanga, Timu ya wananchiβ½
My dear X-WifeWatani leo hakikisheni mnatukanda vizuri
Kwenye zile 5 ongezeni hapo mbili
Mpaka akili ziwakae sawa viongozi
leo lazima tuwachape pigaaaa ayooooo mauza magodolo leo lazima mrudi jagwani miguu juuuu
my own πAll the best kwa Yangaπ, ngoja niwahi kibanda umiza mapemaa
Simba tunashinda mapema tuumy own π
Upo timu gani wewe?my own π
Yanga wako vizuri mkuu mmesahau ile 5G πSimba tunashinda mapema tuu
Mshenzi kweli weweNawaombea leo simba waingie tena kwenye ule mfumo katili wa Yanga ili historia iweze kuandikwa kwa mara nyingine tena.
Weka KikosiHoma ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani wake bado 5-1.
Je, unadhani nani ataibuka mbabe wa mbungi hii?
Kaa namni kwenye uzi huu kupata kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Let's Goooooo!!
Usikimbie udugu[emoji881]
[emoji3590][emoji833]
[emoji120][emoji120]
Hallah
guvu 1
π€£π€£π€£π€£ na huo ndio uanaumeMi ni Simba ila hii mechi ntavaa jezi ya mdogo wangu nijaribu kushangilia kidogo