FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Tatizo la mpira wa Tanzania ni uchawi, utakuta mechi kama ya leo ina waganga hata 100, yaani 50 wa Yanga na 50 wa Simba.
 
Utopolo au Makolo mmojawapo lazima afe. Leo Makolo ndio hali mbaya
 
Naombeni link ya kuangalia mechi hii online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…