FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Kwanza hii game itakuwa na mgoli kwa pande zote ila matokeo yatakuwa draw ya magoli.

Kwanini?
Kila timu inawachezaji bora ni kama wamebalance kwa pande zote 2
Pia naona timu zote zina mapungufu kidogo yanayofanana Yanga no 5 na somba no 5.

Atakayetawala dimba la kati ndiye atakaye nufaika zaidi na mchezo wa leo.

Simba ili waifunge Yanga waombe pale kati pasiwe na utulivu na wapige counter attack.

Ili Yanga ishinde inahitaji wakamate pale kati then wafanye pressing uamkufa mtu simba wanachiaga.
 
Mwamedi hataki watu wateteme
FB_IMG_16603826381544352.jpg
 
Back
Top Bottom