FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Hili timu inzi wao hadi waamuzi Leo wanabebwa sana lakini wapi

Hawa waamuzi kwa nini wanashindwa kuficha mahaba yao?
 
Ni mara ya pili tena Enock Inonga anajatlribu kufanya faulo ambayo sio ya kimichezo.
  • Mwanzoni kafanya kwa Fei Toto
  • Halafu kafanya tena kwa Sure Boy

Laiti kama mwamuzi angekuwa makini alistahili kupewa kadi nyekundu 🔴.
 
Kwanini Inonga hamkumkanyaga jamaa Koromeo ili tuwazike kweli
 
Am very sorry! Ila kiukweli Mayele ni mchezaji rahisi sana kukamiwa na mabeki.

I wish kipindi cha pili Berndard Morrison, Zawadi Mauya, na Herittier Makambo wangewapokea tu Fiston Mayele, Farid Mussa na Sure Boy.

Hii mechi bado ni 50/50 mpaka sasa. Hakuna timu iliyo elemewa. Yanga wamefanya kosa moja, wakaadhibiwa. The same simba pia inaweza kukosea na Yanga kusawazisha, na pia kuongeza goli la ushindi.

Inonga tayari ana kadi nyekundu mkononi.
 
Back
Top Bottom