FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Sielewi kivipi kocha hakuiona combination safi ya Okra, Okwa, Chama na Sakho. Unaenda kumtoa Chama ambaye alikuwa kwenye form nzuri kabisa. Fukuza Matola haraka Sana. Hii haikuwa game ya kupoteza kabisa. Matola achunguzwe.
Yes chama asingetolewa, jamani kwani kapombe anaumwa????
 
Back
Top Bottom