Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,342
- 2,105
Nyenyenye [emoji23]Yeah kipindi cha pili. nipo live..yanga anakufa la pili soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyenyenye [emoji23]Yeah kipindi cha pili. nipo live..yanga anakufa la pili soon
Dakika ya ngapi sasa maana mimi nafuatilia hapa JF.
Poleni ila huku Simba kuwa mvumilivu kidogo mnaweza rudishaHuku Simba kule Manchester united!!!
What A Day!!!
Ningekuwa mlevi leo ningeenda kulewa kupunguza maumivu
Nyenyenye [emoji23]
Bado dk4Dakika ya ngapi sasa maana mimi nafuatilia hapa Jf .
Naona uto mmerudi kwenye uzi kwa fujo
Yes chama asingetolewa, jamani kwani kapombe anaumwa????Sielewi kivipi kocha hakuiona combination safi ya Okra, Okwa, Chama na Sakho. Unaenda kumtoa Chama ambaye alikuwa kwenye form nzuri kabisa. Fukuza Matola haraka Sana. Hii haikuwa game ya kupoteza kabisa. Matola achunguzwe.
Dar es salaam Young African
Daima mbele nyuma mwiko.
Ahsante Yanga
Ahsante Mayele
Wana jangwani mmetuheshimisha.
Mkuu, mpira unaumaTuko pamoja, siku mbaya mno
Dakika ya 89 Sheikh! Yanga 2 simba 1.Dakika ya ngapi sasa maana mimi nafuatilia hapa Jf .
#GuyuMoya#GuvuMoyaBado dk4
Mkuu,mpira unauma
Niko nalia hapa eti
TunachomoaBado dk4