FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Eeeh gooooooooal kibudenga anasawazisha hapa
Simba 4
Yanga 2..

😂😂😂😂
 
Afu goli la pili lilianza kupita kwenye tobo la INONGA ndo likaingia nyavuni.. Huyu mayele aliwahi kumtoboa Onyango na leo kamtoboa Inonga kudadadadaaaaadeeekii. Bado kumtoboa Kakolanya au Manula
 
Leo Akpan alipaswa kuanza kabla ya Kanoute kwasababu Kanoute hajawa na Timu kwa Muda Mrefu. Ngoja tuone Ligi ikianza tutajua lakini asije leta huu Ujinga kwenye CAF
Pia golini kuna shida kubwa. Magoli yote mawili kipa mzuri ana serve.
 
Back
Top Bottom