Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hii mechi sio nyepesi kwa Yanga kama vile watu wanavyodhania. Kumbuka mechi ya kule Zanzibar hadi watu wanataka kupigiana kisa kupaniana, ndivyo na leo Singida lazima wataingia katika mchezo wakitaka matokeo kwa namna yeyote ile.Yanga A Vs Yanga B
Yanga A Vs Yanga B
Wazee wa kupeleka Motoo ndio sisi..!💚💛🔥
Wewe mgeni jijini? Au ndio kutupangaItakuwa ni mechi ngumu sana kumbukeni vijana wako kazini, je kuna wachezaji wanaozidi miaka 35, ili nifute kauli yangu ya kuhusu vijana wako kazini
Utakuwa mchezo mzuri sana kuonyesha kipaji cha mchezaji mmoja mmoja, (individual skills)
Nimewajibu wanao Sema yanga A vs Yanga BWewe mgeni jijini? Au ndio kutupanga
Mjomba na shangaziWananchi na hii tukashinde ili waumie vizuri.
🔰Yanga kubwa
🔰Yanga daima
🔰Yanga bingwa
💚💛💚🖤💛
Ila kiukweli kabisa huyu kocha ni mzuri sana japo alibezwa na mashabiki wengi walimuona kama tapeli hana ubora. Juzi kashinda goli 3 na jana tena kamfunga Mc Alger goli 1 kwenye ligi kuu. Naona anaendeleza kupata matokeo mazuri kama alivyokuwa Yanga. ngara23 ni mmoja wa mashabiki wasiomkubali huyu kocha.
Hamna kocha paleIla kiukweli kabisa huyu kocha ni mzuri sana japo alibezwa na mashabiki wengi walimuona kama tapeli hana ubora. Juzi kashinda goli 3 na jana tena kamfunga Mc Alger goli 1 kwenye ligi kuu. Naona anaendeleza kupata matokeo mazuri kama alivyokuwa Yanga. ngara23 ni mmoja wa mashabiki wasiomkubali huyu kocha.
Kawaambia wasichotaka kusikiaIla kiukweli kabisa huyu kocha ni mzuri sana japo alibezwa na mashabiki wengi walimuona kama tapeli hana ubora. Juzi kashinda goli 3 na jana tena kamfunga Mc Alger goli 1 kwenye ligi kuu. Naona anaendeleza kupata matokeo mazuri kama alivyokuwa Yanga. ngara23 ni mmoja wa mashabiki wasiomkubali huyu kocha.
Kwani lini hawakugawa pwenti kwa Simba...Hii mechi hamna hata haja ya kupoteza mda kuangalia,mshindi anajulikana , kina Singida United wapo ligi kuu kimkakati kugawa point kwa Yanga