FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Itakuwa ni mechi ngumu sana kumbukeni vijana wako kazini, je kuna wachezaji wanaozidi miaka 35, ili nifute kauli yangu ya kuhusu vijana wako kazini

Utakuwa mchezo mzuri sana kuonyesha kipaji cha mchezaji mmoja mmoja, (individual skills)
 
Yanga A Vs Yanga B
Hii mechi sio nyepesi kwa Yanga kama vile watu wanavyodhania. Kumbuka mechi ya kule Zanzibar hadi watu wanataka kupigiana kisa kupaniana, ndivyo na leo Singida lazima wataingia katika mchezo wakitaka matokeo kwa namna yeyote ile.
 
Yanga A Vs Yanga B
Screenshot_20250217-080718_Facebook.jpg
 
Itakuwa ni mechi ngumu sana kumbukeni vijana wako kazini, je kuna wachezaji wanaozidi miaka 35, ili nifute kauli yangu ya kuhusu vijana wako kazini

Utakuwa mchezo mzuri sana kuonyesha kipaji cha mchezaji mmoja mmoja, (individual skills)
Wewe mgeni jijini? Au ndio kutupanga
 
Ila kiukweli kabisa huyu kocha ni mzuri sana japo alibezwa na mashabiki wengi walimuona kama tapeli hana ubora. Juzi kashinda goli 3 na jana tena kamfunga Mc Alger goli 1 kwenye ligi kuu. Naona anaendeleza kupata matokeo mazuri kama alivyokuwa Yanga. ngara23 ni mmoja wa mashabiki wasiomkubali huyu kocha.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh

Hamna kocha pale
 
YANGA A VS YANGA B.

BEKA VS BAKARI.

ABDALLAH VS DULLA.

MOHAMED VS MUDI.

HAKUNA MECHI LEO NI MAZOEZI TU KATI YA YANGA A NA YANGA B.

P.AUSSEMS ALIVYOWAKAZIA TU WAKAMFUKUZA.
 
Ila kiukweli kabisa huyu kocha ni mzuri sana japo alibezwa na mashabiki wengi walimuona kama tapeli hana ubora. Juzi kashinda goli 3 na jana tena kamfunga Mc Alger goli 1 kwenye ligi kuu. Naona anaendeleza kupata matokeo mazuri kama alivyokuwa Yanga. ngara23 ni mmoja wa mashabiki wasiomkubali huyu kocha.
Kawaambia wasichotaka kusikia
 
Hii mechi hamna hata haja ya kupoteza mda kuangalia,mshindi anajulikana , kina Singida United wapo ligi kuu kimkakati kugawa point kwa Yanga
 
Kwani lini hawakugawa pwenti kwa Simba...
Singida anagawa pwenti zaidi kwa Simba ila akigawa kwa Yanga mnanuna [emoji16]
 
Back
Top Bottom