ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Anza kunywa supu ya pweza mpalang huoDah... Tu kuna dem kaniaidi leo kuwa yanga akifungwa ana nipa Mpalang na asali yake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kunywa supu ya pweza mpalang huoDah... Tu kuna dem kaniaidi leo kuwa yanga akifungwa ana nipa Mpalang na asali yake...
Huyo ni mdaka risasiHuyu Ahmada ndio mdaka mishale sasa
TunaonaWananchi hatuna jambo dogo.
Sawa mchambuziYanga ana asilimia nyingi za mushinda kutokana na chemistry walionayo
Tofauti na Azam ambauo bafo inataguta muunganiko tena katika nyakati ambazo kocha ni mgeni na hii ni mechi yake ya kwanza
Kwa mchezaji mmoja mmoka Azam nawaona wako bora kuliko yanga
Bajana fundi uyoHuyu Sospeter Akaniwasha Sanaaaa Messi Asubiri
Unazani ni kupindua matako?Azam wanaongoza bao Moja, kipindi cha pili Wananchi tunakuja kupindua matokeo kama kawaida yetu
Toa Nkane na Bigirimana ingiza Sureboy na Feisal.Kocha Nabi naye kuna wakati mawenge yanampanda kichwani. Mechi ya leo hakutakiwa kuwaanzisha Bigirimana, Morrison na Nkane kwa wakati mmoja.
Hawa siyo wakabaji! Kiungo kimekufa kwa sababu tu ya upangaji mbovu wa timu. Kipindi cha pili Sure Boy, na Fei Toto waingie kuongeza mashambulizi.
Si wanaongoza sasa wanakwama vipi?Azam wana wachezaji wazuri sijui huwa wanakwama wapi?
Mtakuja kujua muda ukiisha, kupoteza points 3 kwenye hii ligi ya sasa ni kujiandalia pressure tu.Mashabiki wa Yanga hatuna mihemko kama wapinzani wetu.
Nabi amepanga kikosi cha kidwanzi sana. Sijui amewaza nini kuwaanzisha wachezaji wengi mafaza, na kuwaacha wapambanji nje.Yanga ina mashimo mengi mno ambayo yanatakiwa yawekwe sawa. Timu haiko balance, kiungo imezidiwa na pressing ni mbovu na kukaba inawapa ugumu. Nabi ana kazi ya kufanya laasivyo hii timu haitoboi champions league