verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Wasenge kmmmkHii nchi ina vituko sana
Inacheza mpira ambao umetoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasenge kmmmkHii nchi ina vituko sana
Inacheza mpira ambao umetoka
Huwa anapenda sana hekaheka za nje ya goli.Yanga hamna kipa
Kipa unatoka kabisa golini unaenda kuzurula, ni bahati tu shuti halikulenga goli
Yeah exactly... Leo tumekuwa wanufaika wa maamuzi mabovu ya waamuzi wetuIla huu mpira ulionga hili goli ulikuwa tayari umetoka nje
Sio mabovu ni mikakati ya kupendelea Simba na Yanga kuanzia tff hadi bodi ya ligi..Yeah exactly... Leo tumekuwa wanufaika wa maamuzi mabovu ya waamuzi wetu
Sio hapa.. Azam tayari walishaelekea kibra.. Toka sec half imeanza tupo golini mwaoYanga hapa sasa ndio watapata nguvu ya kufanya mashambulizi makalinl zaidi
Wewe umefata nini humu???Sio mabovu ni mikakati ya kupendelea Simba na Yanga kuanzia tff hadi bodi ya ligi..
Mtaendelea kuaibika hivyo hivyo kwenye mechi za Kimataifa.
Naangalia coz hakuna mchezo mwingine wa Nje vinginevyo huwa siangalii haya makitu yenu ya kishenzi.Wewe umefata nini humu???
Ikitokea upande wa pili hoja itakuwa ni Karia na TFF yake wanaibeba team[emoji1].Ule mpira ulikuwa umetoka kabisa nje ya pitch na ndio waliofaidika nao Yanga kwa kujipatia bao la kusawazisha
Wahifadhi hili tukio na kuhitimisha kuwa ni udhaifu wa Refa, baadae ikitokea errors kwenye timu nyingine wasije kusema timu fulani inabebwa