FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Haya matimu yenu ya kishenzi ya Yanga na Simba huwa ni matimu ya kipuuzi Sana yanategemea mbeleko..

Goli la Yanga limetokana na mpira uliotoka Nje kabisa ukaletwa ndani na kuzaa Kona,Refa anajifanya hakuona 😬😬
 
Kwkaua maamuzi yamelemea upende wa team kubwa (kati ya zilizopo uwanjani), basi kila kitu kitakuwa ni sawa.
 
Ule mpira ulikuwa umetoka kabisa nje ya pitch na ndio waliofaidika nao Yanga kwa kujipatia bao la kusawazisha

Wahifadhi hili tukio na kuhitimisha kuwa ni udhaifu wa Refa, baadae ikitokea errors kwenye timu nyingine wasije kusema timu fulani inabebwa
Ikitokea upande wa pili hoja itakuwa ni Karia na TFF yake wanaibeba team[emoji1].
 
Huyu Djuma anaweza kufungisha sometimes
 
Kuna siku mzazi wa mtu anakufa na filimbi mdomoni
 
Back
Top Bottom