Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Huyo mchezaji ni zao la ubadhilifu mkubwa sana wa mali za GSM, kumlimganisha na CCC ni uongo uliotukuka.Unashindana na Chama utapasuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mchezaji ni zao la ubadhilifu mkubwa sana wa mali za GSM, kumlimganisha na CCC ni uongo uliotukuka.Unashindana na Chama utapasuka
Mwehu yule....Huyo morrison mnyoeni zile ndevu zinamfanya akili zipotee
Alooh auntie acha tu thread imekuwa yetu wana simba [emoji1787][emoji1787] haya mambo hayanaga mwenyeweAuntie nakuona[emoji1787]
Sisi vitambaa vya sare havijawasili hahahaHaya Simba kazi Kwetu wameanza kushona sare
AnaboaMwehu yule....
Tushinde kwanza mechi ya kesho, hatuna wasiwasi kabisa.Haya Simba kazi Kwetu wameanza kushona sare
Yanga hii ndiyo inajiandaa kuliwakilisha taifa kwenye klabu bingwa kweli?
Hii haina tofauti na ramli chonganishi 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante Mwenyekiti...
Wakijichanganya kuanza na Mwamnyeto&Lomalisa , hata wale ZALAN FC watawapoteza kmmk.Yanga hii ndiyo inajiandaa kuliwakilisha taifa kwenye klabu bingwa kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alooh auntie acha tu thread imekuwa yetu wana simba [emoji1787][emoji1787] haya mambo hayanaga mwenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii haina tofauti na ramli chonganishi [emoji23]
Hili hata wao hawana majibu, ila lingekuwa upande wa Azam Fc pasingekalika.Ila bado, lile swala la mpira kutoka kisha kurudushwa ndani na kusababisha goli bado hatujalimaliza