FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

Yanga raha, sana hawa wadau wa Tabora watakula za kutosha.
Yanga wakiweka utulivu kidogo kwenye eneo la ushambuliaji
 
Pacome zouzou anaingia kuchukua nafasi ya Stephen Aziz Ki
 
Sasa kama haujui mchezaji ni yupi na haujui hukumu yake inasemaje, kipi kinakupa ujasiri wa kuongea unachoongea? Nini hasa unatetea au kupinga kama hauna taarifa ya kile unachokiongea?
Mlisema Pacome ndiye anayehusika kufungiwa kwa Yanga ndio maana hachezi haya leo huyo hapo uwanjani bado mlivyoongopeana mitaani bado unalo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…