FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

Timu iko Nafasi ya 11 kwenye ligi.
Unafurahia kuifunga.
Huoni tabu hata kidogo?
 
Mlisema Pacome ndiye anayehusika kufungiwa kwa Yanga ndio maana hachezi haya leo huyo hapo uwanjani bado mlivyoongopeana mitaani bado unalo?
Sidhani kama kuna mjadala wa maana wa kufanya hapa labda kama unataka tupoteze muda tu kupiga soga maana bado sijaelewa unachopinga ni nini wakati unakubali kuwa kuna hukumu ya FIFA inayomuhusu mchezaji wa Yanga halafu haujui hukumu inasemaje na haujui mchezaji huyo ni yupi.

Ningekushauri huu muda ungewasiliana na viongozi wako wakupe jina la mchezaji na nakala ya hukumu yake ili kama tunachosema ni kinyume na hukumu hiyo ndiyo uwe na uwezo wa kutusema.
 
Back
Top Bottom