FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

Me nilitegemea mechi kama hii wangecheza akina Ngushi...mnakamia sana
 
Yani mpaka aibu naona mimi timu dhaifu sana, ajabu kuna watu wanashangilia mpaka mishipa inawatoka.
 
Muda wa wana ito kuja kwenye uzi wao
 
Majok Majok kipa mzuri ila ndiyo kafungwa magoli mengi,, basi tena
 
Bwereree Uto huko mbele watakutana na pumzi ya moto hawataamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…