FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Simba na yanga zina tabia ya kushabihiana matokeo hivyo usishangae hii mechi ikiisha yanga 1-0,, ila ikiisha 1-2 in favor of Bamako itapendeza zaidi
 
Simba na yanga zina tabia ya kushabihiana matokeo hivyo usishangae hii mechi ikiisha yanga 1-0,, ila ikiisha 1-2 in favor of Bamako itapendeza zaidi
sio kwa yanga hii
 
Mayele amekosa utulivu, mpk sasa yanga wangekua wana goli 3
 
Yanga mkirudi na uchezaji huu kipindi cha pili mtatafutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…