FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Itakuwa hivi,Mazembe atampiga Bamako atakuwa na points 6,baada ya hapo atarudi home kumsubiri Yanga ambaye atakuwa ana points 7,maana yanga atapigwa na Monastr game ijayo.

Hapo Mazembe atafia uwanjani pake ili afikishe points 9.

Amini usiamini
 
Kuna mpira ume onekana juu ya mlima Kilimanjaro ni wenu sio
 
Mayele ni kama okra tuu na sakho waliwapachika bao muruaz
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?? Kama Yanga inamuongoza Simba kwenye ligi ya Tanzania kaa[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Itakuwa hivi,Mazembe atampiga Bamako atakuwa na points 6,baada ya hapo atarudi home kumsubiri Yanga ambaye atakuwa ana points 7,maana yanga atapigwa na Monastr game ijayo.

Hapo Mazembe atafia uwanjani pake ili afikishe points 9.

Amini usiamini
Hebu huko!!!
 
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?? Kama timu yako haina pwointi 7 kimataifa ka[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Mchambuzi bado yupo na Azizi Ki anadai jamaa alikuwa kama abiria tu uwanjani
 
FUNGA KWANZA NJE NA NDANI KAMA WW MBABE...
 
Mchambuzi bado yupo na Azizi Ki anadai jamaa alikuwa kama abiria tu uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…