Nimefikiria tu huyu mchambuzi kama kaweza kumsema hivi Azizi Ki tena akiwa live...vipi akiwa peke yake au sehemu ambayo hakuna Camera hali itakuwaje?π€£ππ€£ Leo niliona niangalizie DSTV. Wazungu huwa wana madongo sana. Anaweza kukuchamba kwa maneno simple tu.
Aziz ki tulipigwa sanaMchambuzi bado yupo na Azizi Ki anadai jamaa alikuwa kama abiria tu uwanjani
Kama nakuona vile! Hivi hukutetema kweli kutokana na furaha kuzidi mwilini?Matokeo yamenifurahisha mno[emoji4]
Hata miye iliniuma sana siyo next week yupo na Monastir,acha twoneMimi Yanga bado nawalaumu sana kwa kuruhusu ile draw game iliopita na Bamako...
Tungekua muda huu tume relax hatuna was na point zetu 9 saa hiz kama tungekomaa
Sio uchawi,ni mahesabu ya kimpira hayo.Yanga acheze mpira mkubwa na Monastr hapa bongo ashinde,maana mechi ya Mazembe kule Lubumbashi ni ngumu kwasababu atakuwa anapambania kufuzu kwani atakuwa na points 6HUu ni uchawi[emoji23]
Ila anamikimbio mizuriAziz ki tulipigwa sana
walifanya kosa sana, ila ndio mpira wa miguu ulivyo, tutachukua point 3 kwa mazembeMimi Yanga bado nawalaumu sana kwa kuruhusu ile draw game iliopita na Bamako...
Tungekua muda huu tume relax hatuna was na point zetu 9 saa hiz kama tungekomaa
Sizitaki mbichi hizi,Yanga wanatamani kusema Vipers ni wabovu lakini wakikumbuka walivyochomekwa miko kwenye Yanga day wanaishia kugugumia tu[emoji28]. Ila tuache utani Real Bamako ni Vipers iliyochangamka
Walituboa wengi sana basi tuuHata miye iliniuma sana siyo next week yupo na Monastir,acha twone
Tuzichukue kwanza Kwa Monastir,halafu Kwa Mazembe tutakuwa tunajifurahisha tuwalifanya kosa sana, ila ndio mpira wa miguu ulivyo, tutachukua point 3 kwa mazembe
Ni "siyo" siyo "sio". Lugha tu inakushinda, vingine tatizo linaweza kuwa kuvimbiwa mihogo?Ni 'loser' sio 'looser'. Lugha tu inakushinda, vingine utaweza ewe mbumbumbu?
Raja je? Kwa Mkapa hatoki mtu eti[emoji23][emoji23]Kwa hiyo draw ndio kumfunga? Simba kwa Vipers wali draw?
Hata Kiswahili hujui? Unajua vema matumizi ya 'sio' na 'siyo' kweli? Lay low mzee. Chutama. Huna hujualo zaidi ya kukaa kuiwaza Yanga kiasi kwamba hadi shule ukashindwa.Ni "siyo" siyo "sio". Lugha tu inakushinda, vingine tatizo linaweza kuwa kuvimbiwa mihogo?
Hapa mimi ndio panaponipa mawazoo na ndio maana narudi kufikir kuwa htukupaswa kuruhusu draw na bamako game ilee...Mazembe watatuua hakyanani..tena kwao??? Aahh sina matumain kabisaawalifanya kosa sana, ila ndio mpira wa miguu ulivyo, tutachukua point 3 kwa mazembe
Badoooo...mnatakiwa mumpigeeHuoni kwao tulitoa droo hapa tumemnyoa?
Utopolo mwenyeweKila La Heri Utopolo
Yanga ni vipers ilostuliwaSimba ni Bamako iliyochangamka...
tukitaka matokeo mazuri mapema kabisa moloko na aucho waanze.Tuzichukue kwanza Kwa Monastir,halafu Kwa Mazembe tutakuwa tunajifurahisha tu
Ngoja yule aliyetupiga kwao aje tumnyoeBadoooo...mnatakiwa mumpigee