Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
We kama kisu chako ni butu hakitoboi usimumuingize Kila mtu kwenye ubutu wako,Yanga kisu ncha Kali kutoboa ni given kama jua kuchomoza Kila sikuKwa performance ya leo ..sioni tukitoboa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kama kisu chako ni butu hakitoboi usimumuingize Kila mtu kwenye ubutu wako,Yanga kisu ncha Kali kutoboa ni given kama jua kuchomoza Kila sikuKwa performance ya leo ..sioni tukitoboa.
Usitoboe tu. Ila sisi tutatoboa.Kwa performance ya leo ..sioni tukitoboa.
Yule bwana mdogo ni mhamasishaji mzuriDuh nimeangalia group table ya Yanga, kumbe hili group linaenda hadi dakika ya mwisho aisee 🤣😂🤣
Sasa yule msemaji wao alikuwa anaongea uharo gani juzi?
Una hela ya diclopar?Duh nimeangalia group table ya Yanga, kumbe hili group linaenda hadi dakika ya mwisho aisee [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Sasa yule msemaji wao alikuwa anaongea uharo gani juzi?
That's the spirit,Sure..yani mi humu huwa naenjoy tuu kupanikishana basi ila baada ya hapo peace na upendo...
Yanga Leo ndio ime perform kuliko game zote, Hawa Bamako walikuwa hawana cha kupoteza ndio maana uliona wako very aggresivve mwanzo mwisho, kwaio Yanga walikuwa na tahadhari kubwa yakutoruhusu goli at the same time wafungwe wao.Tatizo mmezoea kuiona Yanga ikicheza na timu vibonde ila hawa Bamako ni real opponentKwa performance ya leo ..sioni tukitoboa.
Usisikilize tu radio ili ujiepushe.Sasa kesho mi redio na michambuzi yake ni kusifia tuuu mwanzo mwisho hata penye uongo yani inaboaaa
Hahahahaha mbona unanifananisha na huyo mwarabu feki ? Mbona simjui huyu mtuKumbe ww mwarabu feki na mganda og ni uto lilialia [emoji38] [emoji38]
Waganga aina yako hamchelewi kung'oka meno.Hii gem inaisha 1 1..... Mda utasema
Na kweli kesho wala sisikilizi mkuu..mzee wa story ya Big na nani yule mama..Usisikilize tu radio ili ujiepushe.
Hatuji haraka kwa kuwa tunajua ushindi ni given kama pieMashabiki wengi wa Yanga hapa JamiiForums ni waoga sana, game ikiwa live huwaoni, game ikiisha ndio wanakuja kusumbua hapa...
Wewe huoni hata uwanjani huwa hawaendiMashabiki wengi wa Yanga hapa JamiiForums ni waoga sana, game ikiwa live huwaoni, game ikiisha ndio wanakuja kusumbua hapa...
Kwasababu huwa tunakaa kutazama game na sio kupayukapayuka huku hujui hata kinachoendelea. Tunakuja Half time na Full time.Mashabiki wengi wa Yanga hapa JamiiForums ni waoga sana, game ikiwa live huwaoni, game ikiisha ndio wanakuja kusumbua hapa...
Duh nimeangalia group table ya Yanga, kumbe hili group linaenda hadi dakika ya mwisho aisee [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Sasa yule msemaji wao alikuwa anaongea uharo gani juzi?
Hawana vifua vya kuhimili jaka moyoMashabiki wengi wa Yanga hapa JamiiForums ni waoga sana, game ikiwa live huwaoni, game ikiisha ndio wanakuja kusumbua hapa...
Hali zetu tete wote basi tuu kupeana jambamjambaGongawazi fainal yao ni vs Us Monstair March 19
Wakishinda wanaenda Robo fainal
Madunduka fainal yao ni vs Horoya March 18 Wakishinda wanaenda Robo fainal
Kwa maana iyo kurwa na doto wapo mguu pande mguu mmoja sawa
Ila kila mwisho wa msimu wao ndo' wanaongoza kwa takwimu za kuingiza mashabiki kwenye mechi zao.Wewe huoni hata uwanjani huwa hawaendi