FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Kwa performance ya leo ..sioni tukitoboa.
Yanga Leo ndio ime perform kuliko game zote, Hawa Bamako walikuwa hawana cha kupoteza ndio maana uliona wako very aggresivve mwanzo mwisho, kwaio Yanga walikuwa na tahadhari kubwa yakutoruhusu goli at the same time wafungwe wao.Tatizo mmezoea kuiona Yanga ikicheza na timu vibonde ila hawa Bamako ni real opponent
 
Duh nimeangalia group table ya Yanga, kumbe hili group linaenda hadi dakika ya mwisho aisee [emoji1787][emoji23][emoji1787]

Sasa yule msemaji wao alikuwa anaongea uharo gani juzi?

Gongawazi fainal yao ni vs Us Monstair March 19
Wakishinda wanaenda Robo fainal

Madunduka fainal yao ni vs Horoya March 18 Wakishinda wanaenda Robo fainal

Kwa maana iyo kurwa na doto wapo mguu pande mguu mmoja sawa
 
Back
Top Bottom