Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Tunawasubiria J2 mechi ya Monastir
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zuwena kapambane na madunduka wenzio huku umepoteaMuuza ngada hayupo tena msimbazi wewe mla ugali wa sukari
Hii ya leo ishashindikana. [emoji16]Tunawasubiria J2 mechi ya Monastir
Najua mna hasira, mlijua leo tunafungwa mkeshe hapa. Mliyoyatarajia yamewaangusha vibaya. PoleniTangu lini mawe akapiga kelele?
Nyamaza nakwambia
Mpelekee Zuwena na madunduka wenzio! Huku ni mpira safi unahitajikaUnatumia mkuu supplier aliye karibu akuletee
Yanga ikishabikiwa na fans wake kwani inahitaji kingine? We mshabikie Onyango inatoshahili la bahasha alihitaji kuwa mchambuzi wa mpira kutambua. Haya mambo yanaharibu raha ya kushabikia mpira
May I have it p'se
We itakua ni lichoko ngoja nikuteme tu .Kunywa maji mengiiiiii. Piga diclopar kisha lala. I am sorry for the pain, we are Yanga. Na unavyokosa raha ndo' raha yangu/ yetu.
Kama unaumia sana, achana na ligi ya Tanzania kashabikie huko unakohisi utapata raha maana kwa hapa Tanzania utaumwa sana.
Alafu umerukwa na akili mpaka unaanza kuongea kuhusu fake ID, sasa mimi na wewe nani mwenye fake ID. I go by the name of Steve Mollel, vipi wewe? Unaitwa mbwa?
Sawa mkuuSina kwa PC mkuu ila Youtube zipo kama zote.
Usiniudhi 😎Najua mna hasira, mlijua leo tunafungwa mkeshe hapa. Mliyoyatarajia yamewaangusha vibaya. Poleni
Uwanja muhimu mtani hata mkijenga Bagamoyo itawasaidia mbeleni . Ukweli lazima usemweBaada ya yote hili ndilo umekuja nalo. Tujengee karibu Jangwani, tukupe contract...
Achen upimbi nyie kijan ,natukana yeye baada ya kufanya Nini?Mbona unaanza kutukana Sasa? punguza makasiriko huu ni mpira tu usikutoe utu.
Kunywa maji mengi upunguze makasiriko
Nitakusindano dunduka FCUsiniudhi 😎