FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Kunywa maji mengiiiiii. Piga diclopar kisha lala. I am sorry for the pain, we are Yanga. Na unavyokosa raha ndo' raha yangu/ yetu.

Kama unaumia sana, achana na ligi ya Tanzania kashabikie huko unakohisi utapata raha maana kwa hapa Tanzania utaumwa sana.

Alafu umerukwa na akili mpaka unaanza kuongea kuhusu fake ID, sasa mimi na wewe nani mwenye fake ID. I go by the name of Steve Mollel, vipi wewe? Unaitwa mbwa?
We itakua ni lichoko ngoja nikuteme tu .
Yaan life lako umelipa userious kupitia mpira huu huu wa bongo .
Kama ndio wewe hapo Kwa picha ya hii I'd f Sina Cha kuongeza .
Dalili za upinde naziona wazwaz hapa ,kukenua Kenua Kwa mwanaume inaleta mashaka sana.
Wanaume wa kweli wanabishana Kwa hoja konki.[emoji867]
 
Mbona unaanza kutukana Sasa? punguza makasiriko huu ni mpira tu usikutoe utu.
Kunywa maji mengi upunguze makasiriko
Achen upimbi nyie kijan ,natukana yeye baada ya kufanya Nini?
 
Back
Top Bottom