FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Kwa kikosi hiki cha Yanga, Sundowns wakikosa chini ya goli 5 itakua ni uzembe...
 
Ningekua na uwezo ningetoa hivi vyeo vya usemaji wa club, yaani haya majinga hayapo professional kabisa

Juzi tu ally kamwe alikua anasema mara Yao ndo kampokea pacome airport, mara aucho yupo fit... Sasa sijui wanatoaga habari za nini
 
Washafahamu nyiny ni mapopoma
 
Kila la heri YANGA

Mpira una matokeo matatu
Nipo tayari kwa matokeo yoyote yale
Lakini kikubwa naiombea ushindi YANGA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeee!!!
Yaan a take asitakee, maseko anaku zoom mtani.
Hahahahaaaa. Ndio ndio Mtani. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

🀸🏻🀸🏻🀸🏻
 
Wazulu leo tunawakanda bila ganzi

Simba msihofu tutawalipia kisasi Leo leo
 
Ningekua na uwezo ningetoa hivi vyeo vya usemaji wa club, yaani haya majinga hayapo professional kabisa

Juzi tu ally kamwe alikua anasema mara Yao ndo kampokea pacome airport, mara aucho yupo fit... Sasa sijui wanatoaga habari za nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mapema sana jamani, kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…