FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Ona upuuzi wanaofanya hapo mbele, yaani Yale Yale unatumia Nguvu bila akili ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Ewaaaa pira limechangamka sasa, sio kama la jana sahivi lishaisha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Naziona 5 hapa Habib thalanta bin THIFUL ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
UBUNTU BOTHO
 
Hivi Kwa Timu kama hii ya Mamelodi ,Yanga ni WA kukabia macho? Wanatakiwa kwenda mbele na kurudi wote hii ya kuwaachia Mabenki pekee inaenda kuchoma kibanda sio mda.
 
Back
Top Bottom