Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Sijawah kumuamini wala kumkubaki MusondaMzize na Musonda waache utoto hii mechi tuna tuna nafasi chache sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawah kumuamini wala kumkubaki MusondaMzize na Musonda waache utoto hii mechi tuna tuna nafasi chache sana.
Kwani kadi ni ajabu katika soccer? Mbona unashangaza? 🤣Sasa mnacheza nini humo? Kadi tayari 😆😆
Tulizanaaa kwani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani ana mihemko mechi ya kwangu so lazima niongee wewe ndio ukae kimya sio shughuli yako.
Na yeye (Max) kasajiliwa kwa 6.9B, ambayo ni budget nzima ya klabu nzima ya Yanga Sc?kweli mkuu kama ilivyo kwa maxi, mchezaji mahili unamshika kizembe vile usipigwe kadi haiwezekani
Mdio mastriker wetu hatuna wengine japo wanazingua ila ndio wetu.Sijawah kumuamini wala kumkubaki Musonda
Ndio maana bado wame bana miguu..mzoefu jana alkua kasha panua miguuWachezaji wa Yanga wana hofu!
Mmerudi nyuma, mnataka mfunge kwa counter.Yanga tunakosa professional football. Ni kama tunataka kubahatisha bahatisha
Halafu tunacheza mpira agressive
Hatariii sanaaa,Dalili ya kadi nyekundu ni yellow Kwa Lomalisa
Umeona eeh,hawajiamini kabisa...Wachezaji wa Yanga wana hofu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi unayoo uduguu. PoleeeeUdugu leo kwa kizimkazi nipo na kwa madiba nipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]