Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mnacheza nini humo? Kadi tayari 😆😆Kolo ni kolo tu...yaani dakika ya 13 hata mpira haujatulia unaanza kuandika Undunduka
Vijana kakabeni mpira😂😂😂
Atleast wachezaji wetu wanatuua huku wakiwa wameripoti kambini
Wenu wanawaua huku hawajafika kambini😂😂
MatapeliHawa watu vipi mbona wanaogopa kucheza sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa swala la possession haijalishi wapo nyumbani au ugenini huwa wana tawala wao,so sisi tudeal na nafasi hizo chache tuzipatazo.
Dalili ya kadi nyekundu ni yellow Kwa Lomalisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muda bado bhana, tulizanaaa.
Udugu leo kwa kizimkazi nipo na kwa madiba nipo 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu tulizanaa, na ulibetiaa kikosi kipanaa.
kweli mkuu kama ilivyo kwa maxi, mchezaji mahili unamshika kizembe vile usipigwe kadi haiwezekaniAmestahili kadi ya njano, watu hawawezi kusajili mchezaji kwa Bilion 6.9 afu uje kutaka kumvunja kimakusudi.