FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Wewe unaona Kuna Dalili yeyote ya hatari Yanga inaleta? Hakuna kitu ndio maana nasema Simba walicheza vizuri Jana kuliko huu uto wa Yanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii muda badoo.
 
Wanakosaaa bao waziii kabisaaa, cm zingeitaaa hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom