FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Ona upuuzi wanaofanya hapo mbele, yaani Yale Yale unatumia Nguvu bila akili πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ewaaaa pira limechangamka sasa, sio kama la jana sahivi lishaisha 🀣🀣🀣🀣
 
Naziona 5 hapa Habib thalanta bin THIFUL 🀣🀣🀣🀣🀣
UBUNTU BOTHO
 
Hivi Kwa Timu kama hii ya Mamelodi ,Yanga ni WA kukabia macho? Wanatakiwa kwenda mbele na kurudi wote hii ya kuwaachia Mabenki pekee inaenda kuchoma kibanda sio mda.
 
Jamaa wanaotakiwa kuadhibiwa wanacheza kwa dharau sana yanga wanatakiwa kupress juu bila kuogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…