ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Haya nendeni mkavae jezi zenu za Mamelodi mje msisahau kiingilio ni bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hili ni kweliKuna watu wanazipenda timu zao
Kwani Jwaneng alifungwa na nani?Sisi tunashida sana kwenye straiker na kiungo leo ilikaa vibaya,
Inonga leo pia hakuwa na wakati mzuri
Hata Sub ya Kanoute haikuwa na maana.
Karibu Benjamin Mkapa Ushuhudie Pira Safi Kutoka Kwa Dar Young AfricansMnakufaaaaa....
Kamwe atazimia uwanjani mara 5Duh! Ikitokea Mamelodi akapigwa 5g yaani 5-0, itakuwaje?
Yaani yanga ikitokea akampiga Mamelodi bao 5, ali kamwe itabidi ahamie ICUKamwe atazimia uwanjani mara 5
Kila laheri WawakilishiMatch Day 1st Leg.
Robo fainali
Yanga vs Mamelodi
Muda ni Saa 3 Usiku.
Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo