FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Ngumu sana Sisi tupoteze nyie mshinde.

Tena mkikaa vibaya mnakula 2 buyu ..
Kula chuma hicho
FB_IMG_1711756511496.jpg
 
Kila la heri timu yetu ya wananchi.
Mpaka sasa tupo juu ya malengo kwenye CAF CL na haya ni mafanikio kuelekea mechi ya leo.
💚 Kufuzu kucheza hatua ya makundi(lengo kuu)
💛kutinga hatua ya robo fainali
Hatuna cha kupoteza mpaka sasa tupo ndani ya malengo yaliyotimizika 100%

💚💛💚💛YANGA FOREVER💚💛💚💛
 
Leo Mamelodi sundown watapigwa kama Ngoma....

Wale mashabiki wa Ubuntu Botho tafuteni timu ya kushangilia nusu fainali ..

Yanga 3 Mamelodi 1
 
Hii mechi Kolo FC walikuwa wameisubiri kuliko mechi yao, waliyo kalia kidude. Kama kawaida tuna wakaribisha na jezi zenu zq Mamelod mlizo zinunua zaidi wiki mbili, karibuni mumuone mwanaume.

Ila tutakumbushana Uarabuni hamna meza,maswala ya kupindua meza hamna,kule kuna majamvi so jiandaeni kukunjwa mechi ya marudiano.

Karibuni taifa najua mtajifunza kitu kupitia kwa Yanga.
 
Back
Top Bottom