FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Mapema kabisa uwanjani leo. Sio mechi rahisi ya kujihakikishia ushindi moja kwa moja, tahadhari na kucheza kwa mipango ni muhimu.

Kaka mzuri wangu kanitahadharisha kabisa nisiende na matokeo yangu uwanjani 🤣🤣

Mungu Ibariki Yanga, tupate ushindi!
 
Oi hata mashabiki wa simba wanatakiwa kuvaa jezi za yanga leo uzalendoo utawale kama ilivyokuwa jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…